Search

Wednesday, November 27, 2013

Mwaka mmoja baada ya kifo cha Sharo Milionea, ajali aliyoipata.

Sharo Milionea 1
November 25 2013 usiku ulianza mkesha wa kumbukumbu ya Sharo Milionea ambae ametimiza mwaka mmoja toka afariki dunia kwenye hii ajali ya gari alilokua akiliendesha pia akiwa mwenyewe kutoka Dar es salaam kwenda...

show me the way brand new single and video toka kwa brown b

Baada ya kipindi kirefu sana kukaa kimnya now amua kutoka tena na ngoma yake mpya ikiambatana na video kali akiongea na jimmy 25 brown b amesema...

Thursday, November 21, 2013

Babu Seya sasa kufia jela


Nguza Viking na mtoto wake Papii wakitoka mahakamani
Mahakama ya Rufaa nchini Tanzania imetupilia mbali ombi la warufani wawili Nguza Viking na mwanaye, ambao waliomba mahakama hiyo kufanya marejeo ya uamuzi wake wa awali wa kuwapata na hatia kama ambavyo hukumu dhidi yao ilivyotolewa na mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mwaka 2004.
Nguza Viking, maarufu kama Babu Seya na watoto wake watatu walihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya kubaka na kulawiti watoto...

Tuesday, November 19, 2013

Hii hapa ndio teaser ya kazi mpya kutoka kwa Nay wa Mitego

ney
Sio muda mrefu tangu video ya Salam zao itoke na Nay wa Mitego ametangaza tarehe atakayo toa kazi nyingine.
Hapa kuna picha ya teaser ya ngoma...

Haya ndio mawazo aliyoamka nayo Linex na kuyaweka facebook, soma jinsi wananchi walivyo comment

l5
Linex the Voice leo ameandika post ndefu kwenye ukurasa wake wa facebook na kuweka uwanja wa wananchi wengi kutoa maoni yao juu...

Thursday, November 14, 2013

Nay wa Mitego kuachia wimbo mpya 'Nakula Ujana' tarehe 20

Hitmaker wa Salam Zao 'Nay wa Mitego' anatarajia kuachia wimbo mpya 'Nakula Ujana' kwania ya kuwaonyesha watu kwamba...

Saturday, November 9, 2013

KUMBE MZEE WA UPAKO ALISHAINGIA GEREZA LA KEKO AKKIHUSISHWA NA MADAWA YA KULEVYA? SOMA HAPA ALICHOKISEMA

LITOKEA lakini haikuandikwa kwa sababu haikudakwa! Mchungaji wa Kanisa la Maombezi jijini Dar es Salaam (GRC), Lusekelo Anthony ‘Mzee wa Upako’ amekiri kuwa aliwahi kukamatwa na...