Search

Wednesday, November 27, 2013

show me the way brand new single and video toka kwa brown b

Baada ya kipindi kirefu sana kukaa kimnya now amua kutoka tena na ngoma yake mpya ikiambatana na video kali akiongea na jimmy 25 brown b amesema...
kwa sasa ameamua kujikita rasmi kwenye music na kufanya ngoma nyingi kushirikiana na wasanii mbalimbali

No comments:

Post a Comment