Search

Wednesday, October 23, 2013

Hili ndilo gari jipya la OMMY DIMPOZI kwa sasa



Mark X usafiri mpya kabisa wa msanii wa Bongo Fleva Ommy Dimpozi ukiwa hauna hata namba za usajili leo umekatika maeneo ya Jaffarai Car Wash maeneo ya Mikocheni na kupigwa sopu sopu.

No comments:

Post a Comment