Search

Tuesday, November 5, 2013

Davido kumzawadia his lucky fan zaidi ya millioni 10 siku ya birthday yake


Msanii kutoka Nigeria aliyefanya show nzuri kwenye show ya fiesta ndani ya viwanja vya leaders club, hivi sasa ana-make headlines huko kwao Nigeria kuhusu birthday party yake inayokuja mwezi huu.Mwaka jana Davido akisherekea birthday yake kutimiza miaka...
20 na alitoa zawadi ya zaidi millioni 5 kwa pesa za kitanzania kwenda kwa shabiki wake.

Mwaka huu ametangaza kuongeza dau hilo kupitia verified account yake ya twitter. Davido akiwa anatumia profile picture aliyopiga kwenye garden za Serena hote Dar es salaam ameandika hivi kwenye twitter, “Last year I gave out 500k on my bday,this year we double up, 1M” Naira milioni moja ni sawa na Tsh 10,000,000.



No comments:

Post a Comment