Search

Monday, November 4, 2013

Huddah Monroe alifagilia penzi la Diamond na Wema Sepetu....Amshauri Diamond aachane na Penny kwa kuwa si level yake


Huddah Monroe hataki kumsikia Penny kama wifi yake kwa Diamond Platnumz, anamtaka Wema Sepetu tu.

Mwakilishi huyo wa Kenya kwenye BBA mwaka huu, amefunguka kupitia Instagram kuwa anampenda Wema Sepetu na anamuona ndiye...
mwanamke wa kweli kwa Diamond Platnumz.
Akiweka picha yake Wema, Huddah ameandika: I love her pants…..Too fresh @diamondplatnumz ,huyu Dame wako ,kipenzi chako.For life ,let nobody tell u otherwise.Hao wengine wapita njia tuu .God bless the two of u.RIP to her dad,I know how it feels to lose someone so dear to u.Take heart Ms Boss.I heart you.”

Kauli hiyo ya Hudda imekaribisha mjadala mkubwa hasa kwa mashabiki wake wa Tanzania.



No comments:

Post a Comment